Taifa Leo   
Raila ahudhuria kikao cha kukaanga Cherera na wenzake kisha alaani pendekezo la kuwatimua

Published: Nov 24, 2022 15:50:49 EAT   |  Sports

NA CHARLES WASONGA VIONGOZI wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Martha Karua ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria kikao cha kusikilizwa kwa mapendekezo ya kuondolewa afisini kwa makamishna wanne waliopinga matokeo ya urais mnamo Agosti 15, 2022. Kikao hicho cha Kamati ya Bunge Kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC) […]

View Original Post on Taifa Leo