Pasta anayehusishwa na vifo vya watoto akana mashtaka

Taifa Leo
Published: Mar 24, 2023 13:51:51 EAT   |  News

NA ALEX KALAMA  MAHAKAMA Kuu ya Malindi imemuachilia kwa dhamana mchungaji tata Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International ambaye anadaiwa kuwaua watoto na kuwazika katika hali tatanishi huko Shakahola eneobunge la Magarini. Akiwa mbele ya hakimu mkuu Olga Onalo wa mahakama hiyo, mchungaji Paul Mackenzie ameyakana mashtaka dhidi yake na kuachiliwa kwa dhamana […]