Papa Francis aanza ziara yake rasmi Afrika

Taifa Leo
Published: Feb 01, 2023 10:27:33 EAT   |  News

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC PAPA Francis ameanza rasmi ziara yake ya siku sita katika nchi za Afrika. Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki amezuru nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo leo Jumatano kama njia ya kuombea amani katika nchi hiyo inayokumbwa na mzozo. Kanisa Katoliki jijini Kinshasa lilisema kwamba ziara hiyo inalenga maombi maalum […]