Origi awakomboa Reds tena

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 22:47:06 EAT   |  Sports

MILAN, ITALIA Na MASHIRIKA MBELGIJI Divock Origi alifuma wavuni kichwa kisafi Liverpool ikiandikisha historia kwa kuwa timu ya kwanza ya Uingereza kuvuna ushindi mara sita mfululizo kwenye mechi za makundi za Klabu Bingwa Ulaya, Jumanne. Manchester City ilipoteza 2-1 dhidi ya Leipzig katika mechi ambayo beki Kyle Walker alilishwa kadi nyekundu, nao masupastaa Kylian Mbappe […]