Omanyala afanya mazoezi nchini Ufaransa kabla ya Rabat Diamond League

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 15:32:38 EAT   |  General

Na GEOFFREY ANENE MTIMKAJI Ferdinand Omanyala yuko mjini Miramas, Ufaransa kwa mazoezi kabla ya kuanza kampeni yake ya riadha za Diamond League mjini Rabat, Morocco mnamo Mei 28. Omanyala alishinda mbio za ukumbini za Meeting de Miramas katika mita 60 mwezi Februari 2022 na kukamata nambari mbili Februari 2023. Vyombo vya habari vya Ufaransa vimesema […]