Njaa yapunguza pakubwa idadi ya watoto katika shule za Pokot

Taifa Leo
Published: Oct 26, 2022 06:10:34 EAT   |  Educational

NA OSCAR KAKAI IDADI ya wanafunzi katika shule Kaunti ya Pokot Magharibi imepungua maradufu katika hali ya kutisha, kutokana na njaa inayovuma kwa sasa. Hali inazidi kuwa mbaya, huku baadhi ya shule sasa zikikabiliwa na uwezekano wa kufungwa kwa sababu ya kukosekana kwa wanafunzi shuleni. Kaunti-ndogo za Pokot Kaskazini na Pokot ya Kati ndizo zilizoathiriwa […]