Njaa: Mbunge aomba wahisani wawasaidie wakazi na chakula

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 08:02:36 EAT   |  News

Na MAUREEN ONGALA MBUNGE wa Magarini, Bw Michael Kingi, ametoa wito kwa wahisani kusaidia wakazi wa Kilifi wanaoendelea kukumbwa na njaa. Bw Kingi alisema chakula cha msaada kutoka serikali kuu na ile ya kaunti hakitoshi idadi kubwa ya wakazi ambao wameathirika.Alisema hayo alipoungana na kampuni ya Kensalt kutoa msaada wa bidhaa za chakula kwa wakazi […]