NGUVU ZA HOJA: Matunda ya kwanza kabisa ya mtaala mpya wa umilisi yatabainika mwaka huu

Taifa Leo
Published: May 05, 2022 11:55:29 EAT   |  Educational

NA PROF JOHN KOBIA MTAALA wa umilisi umepiga hatua katika utekelezaji wake kwani wanafunzi wa kwanza katika mfumo huu katika shule za msingi, wameingia Gredi ya Sita muhula huu. Tathmini ya kwanza ya gredi ya Sita inatarajiwa kufanywa mwaka huu. Kuanzia mwaka ujao (2023) wanafunzi hao wataingia gredi ya saba ambayo ndio mwanzo wa daraja […]