Taifa Leo   
NGUVU ZA HOJA: Hadhari iwepo katika kubuni maneno ya lugha ya Kiswahili

Published: Nov 24, 2022 15:02:16 EAT   |  News

NA PROF CLARA MOMANYI HAKUNA lugha isiyotanuka na kukua duniani. Kila lugha hukua kulingana na mabadiliko katika jamii, yawe ni ya kiteknolojia, kidini au hata kiutamaduni. Aidha, lugha huweza kunyauka hata kufa kama vile tanzu za mti zinavyonyauka na kukauka. Katika lugha, hali hii hutokea pale ambapo hakuna wazungumzaji wa kuikuza na kuidumisha kama vile […]

View Original Post on Taifa Leo