Ndoto za nyota wa KCPE zafifia kwa kukosa karo

Taifa Leo
Published: May 03, 2022 07:45:18 EAT   |  Educational

NA WAANDISHI WETU MAMIA ya wanafunzi waliotia fora katika Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Msingi (KCPE), wamo hatarini kukosa kujiunga na shule za upili kwa sababu ya umaskini. Licha ya mashirika mbalimbali, serikali ya kitaifa, za kaunti na wahisani wengine kutangaza misaada ya kielimu, imebainika bado kuna watoto wengi ambao hawajapata fedha za kutosha […]