Naibu Chansela wa KU arejea chuoni kwa kishindo

Taifa Leo
Published: Nov 04, 2022 06:22:11 EAT   |  Educational

DAVID MUCHUNGUH na DANIEL OGETTA NAIBU Chansela wa Chuo Kikuu cha Kenyatta, Prof Paul Wainaina ambaye alitumuliwa kutoka kwa nafasi hiyo, jana Alhamisi alirejea katika wadhifa wake na kuapa kulinda ardhi ya chuo hicho. Prof Wainaina, baada ya kurejea afisini, pia alisema kuwa atapigana ili Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kenyatta (KUTRRH) irejeshwe kwa […]