Mwanariadha Francois Msafiri kutoka DRC alenga kukimbia 100km kutoka Naivasha hadi Nairobi Jamhuri Dei

Taifa Leo
Published: Nov 27, 2022 16:00:37 EAT   |  General

Na GEOFFREY ANENE MTIMKAJI wa mbio za masafa marefu Francois Msafiri ametangaza atakimbia kilomita 100 kutoka mji wa Naivasha hadi ugani Nyayo jijini Nairobi hapo Desemba 12 katika mbio za Jamhuri Day Challenge. Mkimbizi huyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambaye aliwasili Kenya mwaka 2010 akitoroka vita mashariki mwa nchini hiyo, analenga kukamilisha umbali […]