Mwanamke mashakani kwa kuficha ‘dume’ mbakaji

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 07:03:24 EAT   |  General

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyeficha habari kwamba msichana wa miaka 15 aliyetoroka kwa mama yake alikuwa akiishi na mwanaume aliyemfahamu ameshtakiwa. Jane Wambui Njeri alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Agnes Mwangi kwa kuficha habari muhimu kuhusu binti wa jirani yake. Hakimu alifahamishwa kuwa Wambui alijua msichana huyo wa miaka 15 alikuwa akiishi na mvulana katika kitongoji […]