MWALIMU WA WIKI: Ng’etich zaidi ya ualimu ni kocha

Taifa Leo
Published: Oct 24, 2022 06:45:15 EAT   |  Educational

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuwa kielelezo chema kwa wanafunzi wake. Awahimize mara kwa mara katika safari ya elimu na awachochee kujitahidi masomoni ili wazifikie ndoto zao. Anatakiwa pia kuwa karibu na wanafunzi wake, atambue changamoto wanazozipitia, aelewe kiwango cha mahitaji ya kila mmoja na awaamshie hamu ya kuthamini stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma […]