MWALIMU WA WIKI: Mwalimu bambam na mwanamitindo stadi

Taifa Leo
Published: Nov 07, 2022 11:57:42 EAT   |  Educational

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuchangamkia masuala yanayohusiana na mtaala na kuwa mwepesi wa kubuni mbinu anuwai za ufundishaji. Kwa kuwa safari ya elimu ni sawa na vidato vya ngazi, wanafunzi wanahitaji mazoezi mengi ili wajiamini katika usomaji na ujifunzaji wa dhana mpya. Haya ni kwa mujibu wa Bi Anne Otieno Adhiambo ambaye kwa sasa ni mwalimu katika […]