MWALIMU WA WIKI: Mbunifu, mtafiti na mwajibikaji pia

Taifa Leo
Published: Nov 28, 2022 07:18:24 EAT   |  Educational

NA CHRIS ADUNGO FAHARI kubwa ya mwalimu ni kuona mtoto aliyeingia shuleni bila kujua lolote akipiga hatua kubwa katika safari ya elimu na kuanza kufahamu stadi za kusoma na kuandika. Kufundisha wanafunzi wa madarasa ya chini kunahitaji mwalimu kutumia mbinu anuwai zitakazomwezesha kukuza ubunifu wa watoto na kuwaamshia ari ya kuthamini masomo. Zaidi ya vifaa […]