Muziki unaimarisha ubongo na uwezo wa kukumbuka – Wataalamu

Taifa Leo
Published: Mar 31, 2024 02:50:17 EAT   |  Entertainment

NA BENSON MATHEKA IKIWA husikilizi muziki, unakosa kitu muhimu kwa afya yako ya akili, kulingana na wataalamu. Kusikiliza muziki ni njia moja ya kuimarisha uwezo wa akili yako sawa na mazoezi ya kila mara. Wataalamu wa afya wanasema sio rahisi kwa watu wanaofanya mazoezi kila mara kusahau mambo kwa kuwa ubongo wao huwa imara. Mazoezi […]