Mung’aro sasa afichua ushirikiano na Jumwa

Taifa Leo
Published: Nov 24, 2022 08:54:15 EAT   |  News

NA ALEX KALAMA GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amefichua kuhusu ushirikiano uliokuwepo kati yake na Waziri wa Utumishi wa Umma, Jinsia na Haki za Waliotengwa, Bi Aisha Jumwa, kuelekea kwa uchaguzi uliofanyika Agosti 2022. Akihutubia umma akiwa Ganda, eneobunge la Malindi, Bw Mung’aro ambaye ni mwanachama wa ODM, alisema yeye na Bi Jumwa aliyewania […]