Mtahiniwa azuiliwa kwa njama ya kuchoma bweni

Taifa Leo
Published: Nov 21, 2022 07:37:06 EAT   |  Educational

NA GEORGE MUNENE na KNA MWANAFUNZI mmoja wa shule ya upili anazuiliwa katika kituo kimoja cha polisi cha Kirinyaga baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kujaribu kuteketeza mali ya shule. Mvulana huyo, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule mmoja ya upili ya wavulana, alikamatwa Jumamosi kwa madai ya kujaribu kuchoma bweni moja […]