Mtaala wa CBC: Wadau watoa maoni mseto

Taifa Leo
Published: Nov 03, 2022 10:06:58 EAT   |  Educational

NA WAANDISHI WETU WAZAZI wanaotoa maoni mbele ya jopo kazi linalochunguza ufaafu wa mtaala wa Utendaji na Umilisi (CBC), wamependekeza mageuzi kadhaa kabla ya wanafunzi kujiunga na shule za sekondari ya chini. Katika Kaunti ya Nyandarua, wazazi waliambia jopo lililoundwa na Rais William Ruto, kwamba watoto wao ni wachanga kuhudhuria sekondari ya chini katika shule […]