Mrembo mwenye azma ya kuvuna sifa kama Lionel Messi

Taifa Leo
Published: Nov 07, 2022 14:37:42 EAT   |  Educational

NA PATRICK KILAVUKA LICHA ya wembemba wake na umri mdogo, mwanadada huyu ni moto wa kuotea mbali katika kusakata boli kama winga! Aliwasha mshumaa wa talanta yake kama difenda. Ana matamanio ya kuwa mchezaji wa kitaifa na kimataifa kama Lionel Messi. Pauline ‘Mamu’ Kakivi, 12, ni mwanafunzi wa Gredi ya Sita katika Shule ya Msingi […]