MKU yawatafutia ajira ya ng’ambo wahitimu 15

Taifa Leo
Published: Mar 13, 2023 12:05:50 EAT   |  Jobs and Career

NA LAWRENCE ONGARO KITENGO cha masomo ya utalii na usafiri katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) kimewatafutia ajira wahitimu waliokuwa chuoni humo. Kulingana na mhadhiri mkuu wa kitengo cha utalii na usafiri, Bi Jane Kanjuru anasema wanafunzi waliohitimu wana nafasi ya kupata ajira katika nchi za Ulaya. “Tayari tumewatafutia ajira wahitimu 15 waende Ulaya […]