Mkongwe kutembea kilomita 300 kuadhimisha Madaraka Dei 2023 Embu    

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 13:42:05 EAT   |  General

NA MERCY KOSKEI MZEE wa miaka 69 kutoka Kaunti ya Nakuru amewashangaza wengi baada ya kufunga safari kwa miguu ili kuhudhuria sherehe ya Madaraka 2023, itakayoadhimishwa Kaunti ya Embu juma lijalo. Kulingana na Stephen Muigai, mkaazi wa Bondeni, hatua ya kufunga safari wiki moja kabla ya sherehe hiyo ya kitaifa inaashiria uzalendo wake kwa taifa […]