MITAMBO: Kifaa muhimu kwa wanaokuza matunda kupunguza hasara

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 16:25:09 EAT   |  General

NA RICHARD MAOSI MATUNDA kama vile mapapai, machungwa, maembe, ndizi na matufaha ni mojawapo ya mazao ambayo hukuzwa sana nchini kutokana na mahitaji yake ya kimsingi na pia kiuchumi. Kwa wakulima wa baadhi ya matunda, wanaweza kuwazia kuyaboresha ili kujiongezea mapato na kuepuka hasara zaidi kwa kuwa kuna yale yanayoharibika haraka ikizingatiwa kuwa bei ya […]