Miheso aokoa Kenya Police, Homeboyz ikipaa kileleni mwa ligi

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 23:04:04 EAT   |  General

CECIL ODONGO na ABDULRAHMAN SHERIFF WINGA Cliftone Miheso jana alifunga mabao mawili katika dakika za ziada na kuisadia Kenya Police kuduwaza Kariobangi Sharks 3-1 ugani MISC Kasarani. Katika mechi nyingine, Nzoia Sugar iliagana sare tasa dhidi ya wenyeji Nairobi City Stars ugani Ruaraka.Mjini Kakamega, Kakamega Homeboyz ilitoka nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya […]