Taifa Leo   
Microsoft ADC yashirikiana na YALI kuwahami vijana na ujuzi

Published: May 25, 2023 10:59:45 EAT   |  Technology

NA LAWRENCE ONGARO MASHIRIKA ya Microsoft Africa Development Centre (ADC) na Young African Leaders Initiative (YALI) yametia saini makubaliano ya ushirikiano wa kupokezana ujuzi wa masuala ya kidijitali na kiteknolojia. YALI wana makao katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Washiriki chini ya mpango huo watapokea mafunzo kutoka kwa wataalam wa ADC. Mkataba huo ulitiwa saini na […]

View Original Post on Taifa Leo