Mhubiri ashtakiwa kwa ulaghai wa shamba la Sh60 milioni

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 09:55:06 EAT   |  General

Na RICHARD MUNGUTI MMISHENARI kutoka Canada ameshtakiwa kwa ulaghai wa shamba la Sh60 milioni. Sheppard Nelson Jason aliyeshtakiwa mbele ya mahakama ya Milimani alikana mashtaka matano ya kula njama za kumnyang’anya Jeremiah Muuya Sailoji na mkewe Rhodah Anne Baxter shamba la ektari 6.5. Alikana mashtaka mbele ya hakimu mkuu Lucas Onyina. Jason aliomba hakimu amwachilie […]