Merkel ang’atuka baada ya kuongoza Ujerumani miaka 16

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 05:41:44 EAT   |  News

Na AFP WAZIRI Mkuu wa Ujerumani, Angela Merkel ameng’atuka afisini baada ya kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 16. Kiongozi mpya wa ujerumani sasa atakuwa Olaf Scholz, ambaye jana aliidhinishwa na bunge la nchi hiyo baada ya kufanikiwa kuunda muungano wa vyama vitatu ulio na idadi kubwa ya wabungeMerkel amekuwa kwenye siasa kwa miaka […]