Mchango wa Shakahola kwa vita vya uhuru wa Kenya

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 05:29:06 EAT   |  News

NA MAUREEN ONGALA WAKATI Kenya inasherehekea sikukuu ya Madaraka Dei, jamii ya Wamijikenda inaendelea kukumbuka mchango wa msitu wa Shakahola kwa vita vya ukombozi wa nchi kutoka kwa wakoloni. Msitu huo ulio katika eneobunge la Magarini, Kaunti ya Kilifi, kwa miezi kadha sasa umezoa sifa mbaya ya mauaji ya halaiki ya watu wanaoaminika walikuwa waumini […]