MCAs wa UDA Nairobi wataka viongozi wao wawili waadhibiwe kwa kudai Sakaja alifadhili Azimio

Taifa Leo
Published: Feb 01, 2023 13:59:53 EAT   |  News

NA WINNIE ONYANDO MADIWANI wa Nairobi wa mrengo wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) wanataka chama hicho kiwachukulie hatua madiwani wawili kwa kudai kwamba Gavana Johnson Sakaja alifadhili mkutano wa kisiasa uliofanyika Kamukunji. Madiwani hao wanataka kiongozi wa wachache katika bunge hilo la kaunti Anthony Kiragu na kiranja wa wachache bungeni Mark Mugambi wachukuliwe […]