Mbungo roho juu masogora wake wataliza KCB leo

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 05:31:02 EAT   |  Sports

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KOCHA wa Bandari FC, Andre Cassa Mbungo, (pichani)ameeleza matumaini ya wachezaji wake kujituma ili wapate ushindi watakapopambana na KCB FC kutoka Nairobi leo kwenye mechi ya Ligi Kuu ya FKF, itakayochezwa uwanja wa Mbaraki Sports Club. Mbungo amesema wachezaji hao watahitajika kujituma zaidi ili waweze kuzoa pointi zote tatu, hasa baada ya […]