Masonko waelezea sababu kuunga Raila kidole

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 06:46:58 EAT   |  General

Na WANDERI KAMAU MABWANYENYE wa eneo la Mlima Kenya jana walimwidhinisha rasmi kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, kama mwaniaji watakayemuunga mkono kwenye uchaguzi wa urais mwaka ujao. Chini ya Wakfu wa Mlima Kenya (MKF), mabwanyenye hao waliorodhesha sababu ambazo zimewafanya kumkumbatia Bw Odinga.Bw Odinga anatarajiwa kuzindua rasmi azma yake ya kuwania urais kesho katika […]