Manusura wa shambulio la Al-Shabaab aapa kuhubiri amani hadi kifo

NA KALUME KAZUNGU TUKIO la kigaidi la mwaka 2014 mjini Mpeketoni, Kaunti ya Lamu liliacha makovu mabaya kwenye maisha ya wengi eneo hilo. Shambulio hilo la Al-Shabaab lililotekelezwa Juni 15, 2014, lilisababisha wanaume zaidi ya 90 kuuawa huku nayo makumi ya magari na nyumba zikiteketezwa kwa usiku mmoja. Ni uvamizi ulioacha wengi wakiwa na hasira, […]