Malkia wa 1,500m alivyoanza kung’aa

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 21:58:32 EAT   |  General

Na BERNARD ROTICH BINGWA mara mbili wa mbio za Olimpiki katika mita 1,500 Faith Kipyegon Chepng’etich, anajiandaa kwa kibarua cha kuwania taji la Riadha za Dunia zitakazofanyika mjini Eugene, Marekani mnamo Julai 2022. Vilevile, Chepng’etich amekuwa akifanya mazoezi mjini Kaptagat, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, kwa minajili ya msimu mpya wa riadha za msururu wa IAAF […]