Majambazi kuona cha mtema kuni Nakuru

Taifa Leo
Published: Nov 14, 2022 07:17:20 EAT   |  Business

NA RICHARD MUNGUTI HIVI karibuni majambazi na wahalifu hawatakuwa na mahala pa kujificha jijini Nakuru kufuatia kuwekwa kwa kamera zitakazosaidia polisi kuwaandama wanaotekeleza uhalifu. Kamera hizo zimewekwa katikati mwa jiji hili ambako ni kitovu cha biashara (CBD). Kulingana wakuu wa jiji hili, hatua hiyo imechukuliwa kuhakikisha biashara zimeendelezwa masaa 24 bila hofu ya kuibiwa. Meneja wa […]