Taifa Leo   
Maina Njenga ahojiwa na DCI, polisi watawanya wafuasi wake

Published: May 25, 2023 11:25:11 EAT   |  News

NA STEVE OTIENO MAAFISA wa polisi wamelazimika kuwatawanya wafuasi wa aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki, Bw Maina Njenga ambaye Alhamisi amefika katika makao makuu ya Idara ya Kupeleleza Makosa ya Jinai (DCI) ili kuhojiwa. Mamia ya wafuasi wa Njenga walikuwa wamekita kambi nje ya lango la kuingia katika makao hayo ya DCI, Kiambu […]

View Original Post on Taifa Leo