Taifa Leo   
Mahabusu aliyegeuza seli kuwa uwanja wa ndondi aona moto

Published: May 31, 2023 07:11:45 EAT   |  News

Na RICHARD MUNGUTI MAHABUSU ameshtakiwa kwa kumchapa mwenzake waking’ang’ania katoni waliyokuwa wanatumia kama godoro wakiwa seli za polisi. Anthony Omwenga alikabiliwa na shtaka la kumpiga na kumwumiza Dennis Kioko. Wote walikuwa wamezuiliwa katika kituo cha polisi cha Kayole walipokabiliana ana kwa ana. Kila mmoja alikuwa ameshtakiwa kwa makosa tofauti. Omwenga alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi […]

View Original Post on Taifa Leo