Madaraka Dei 2023: Rangi maridadi za vikosi vya pamoja vya usalama gwarideni

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 06:21:25 EAT   |  News

  NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto anaongoza taifa Alhamisi kuadhimisha Madaraka Dei, Juni 1, 2023.   Ni siku Kuu ambapo Kenya huiadhimisha kila mwaka, kukumbuka siku ambayo ilipata uhuru wa ndani kwa ndani kujitawala kutoka kwa serikali ya Mbeberu 1963. Maadhimisho haya yanafanyika katika Uwanja wa Moi, Kaunti ya Embu. Vikosi vya pamoja vya […]