Taifa Leo   
Madampo kila kona yaharibu sura ya Nairobi

Published: May 31, 2023 13:17:19 EAT   |  General

NA SAMMY KIMATU WAENDESHAJI magari na wanaotembea kwa miguu kando ya barabara kadhaa jijini Nairobi wamekerwa na ongezeko la madampo ya taka. Waliozungumza na Taifa Leo wanasema kwamba taka hizo huhatarisha afya za watu na kudunisha hadhi ya jiji la Nairobi. Mojawapo ya maeneo hayo ni kando ya daraja la Reuben mkabala wa barabara ya […]

View Original Post on Taifa Leo