Mabwanyenye wa Mt Kenya leo ‘kupitisha’ Raila

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 10:38:28 EAT   |  General

Na KENNEDY KIMANTHI MABWANYENYE wa eneo la Mlima Kenya leo wanatarajiwa kumwidhinisha rasmi kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, kama mgombea urais watakayemuunga mkono kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Mabwanyenye hao watatoa tangazo hilo chini ya mwavuli wa Wakfu wa Mlima Kenya (MKF), siku moja kabla ya Bw Odinga kuzindua azma yake Ijumaa. […]