Maandamano: Raila akunja mkia

Taifa Leo
Published: Nov 30, 2022 07:52:35 EAT   |  News

CHARLES WASONGA Na MARY WANGARI KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga amefutilia mbali mkutano aliopanga kuuongoza leo Jumatano katika uwanja wa Kamukunji, Nairobi siku moja baada ya Rais William Ruto kuonya mrengo huo dhidi ya kuchochea fujo nchini. Muungano huo sasa umesema mkutano huo utafanyika Desemba 7 katika uwanja huo huo wa kihistoria, […]