Taifa Leo   
Kura ‘ziliuzwa’ kwa Sh600, shahidi adai

Published: Nov 24, 2022 08:46:29 EAT   |  News

NA BRIAN OCHARO SHAHIDI katika kesi inayopinga ushindi wa Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, amedai kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha walimpigia kura gavana huyo. Bw Samson Kaginya, aliambia mahakama kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha kumpigia kura Bi Achani. “Wangepiga kura, kupiga picha za karatasi za kupigia […]

View Original Post on Taifa Leo