Kundi la wanakijiji tajiri lenye ushawishi mkubwa

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 06:21:29 EAT   |  News

Na WANDERI KAMAU WAKFU wa Mlima Kenya (MKF) umeibuka kuwa wenye ushawishi mkubwa, hasa kwenye siasa zinazoendelea za kumrithi Rais Uhuru Kenyatta mwaka ujao. Je, chimbuko lake ni lipi?Wakfu huo ulianzishwa mwanzoni mwa miaka ya tisini na mabwanyenye kadhaa wa Kaunti ya Murang’a, lengo lao likiwa kuwaunganisha wanataaluma wa kaunti hiyo kushughulikia masuala ya kisiasa […]