Kundi C: Argentina na Poland kukabiliana kesho Jumatano

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 12:15:49 EAT   |  News

NA MASHIRIKA DOHA, Qatar ARGENTINA ambao wanapewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa mwaka huu 2022 watamaliza katika nafasi ya kwanza iwapo watashinda Poland kwenye mechi ya mwisho ya Kundi C, na kuongoza kwa pointi sita. Baada ya kukumbana na kichapo cha 2-1 mbele ya Saudi Arabia katika mechi ya ufunguzi, vijana hao wa kocha […]