KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Uholanzi na Ecuador nguvu sawa katika Kundi A nyota Enner Valencia akifikisha mabao matatu kibindoni

Taifa Leo
Published: Nov 26, 2022 07:18:58 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA ENNER Valancia alifunga bao lake la tatu kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu kabla ya kuondolewa uwanjani kwa machela katika pambano la Kundi A lililokamilika kwa sare ya 1-1 dhidi ya Uholanzi ugani Khalifa International. Fowadi matata wa PSV Eindhoven, Cody Gakpo, aliwaweka Uholanzi kifua mbele baada ya dakika tano na […]