Taifa Leo   
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Uhispania wabebesha Costa Rica gunia la mabao katika mechi ya Kundi E

Published: Nov 24, 2022 12:30:11 EAT   |  Sports

Na CHRIS ADUNGO CHIPUKIZI Pablo Gavi, 18, alidhihirisha ukubwa wa uwezo wake uwanjani kwa kufunga bao na kuchochea Uhispania kuponda Costa Rica 7-0 katika mchuano wa Kundi E kwenye fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar. Ferran Torres alipachika wavuni mabao mawili katika pambano hilo lililotamalakiwa na Uhispania – mabingwa wa Kombe la Dunia 2010 […]

View Original Post on Taifa Leo