Taifa Leo   
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Ubelgiji watolewa jasho na Canada kabla ya kuvuna ushindi wa 1-0 katika Kundi F

Published: Nov 24, 2022 12:56:16 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA UBELGIJI walitolewa jasho na Canada kabla ya kusajili ushindi wa 1-0 katika mchuano wa Kundi F kwenye fainali za Kombe la Dunia mnamo Novemba 23 ugani Ahmad Bin Ali. Canada walitamalaki mchezo na kulemea Ubelgiji katika takriban kila idara ila wakapoteza nafasi nyingi za wazi. Beki Alphonso Davies alipoteza penalti iliyopanguliwa na kipa […]

View Original Post on Taifa Leo