KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Morocco watoshana nguvu na Croatia katika mechi ya Kundi F

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 20:34:20 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA WANAFAINALI wa Kombe la Dunia 2018, Croatia, walianza kampeni zao za mwaka huu nchini Qatar kwa sare tasa dhidi ya Morocco ugani Al Bayt. Ni wachezaji wanne pekee waliounga kikosi cha Croatia kwenye fainali za 2018 ambao waliwajibishwa dhidi ya Morocco waliokosa kunogesha makala manne ya awali ya Kombe la Dunia hadi 2018 nchini […]