KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Japan wazamisha chombo cha Ujerumani kwa kichapo cha 2-1 katika mechi ya Kundi E

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 16:59:00 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA JAPAN walitoka nyuma na kufunga mabao mawili ya haraka mwishoni mwa kipindi cha pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wafalme mara nne wa Kombe la Dunia, Ujerumani, kwenye pambano la Kundi E ugani Khalifa International. Ingawa Ujerumani walianza mechi kwa matao ya juu, walipoteza nafasi nyingi za wazi. Fowadi Takuma Asano alitokea […]