KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Canada waaga kipute katika hatua ya makundi baada ya kutandikwa na Croatia

Taifa Leo
Published: Nov 28, 2022 09:26:05 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA CROATIA walizima matumaini ya Canada kuingia hatua ya 16-bora kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu baada ya kutoka nyuma na kupepeta Canada 4-1 katika pambano la Kundi F ugani Khalifa International mnamo Jumapili. Alphonso Davies aliwaweka Canada kifua mbele katika dakika ya pili baada ya kushirikiana vilivyo na Tajon Buchanan. Hata […]